Blog hii itatumika kupata taarifa za matukio mbalimbali,habari, matukio yanatukia katika jamii pamoja na kuhabarishana juu ya yanayojili katika ulimwengu
Sunday, May 31, 2015
wanahabari wapata mafunzo ya matumizi ya uandishi wa kimtandao
mwalimu Simon Berege mkt wa MISA TZ Akitoa mafunzo kwa wanahabari mkoa wa Njombe ambayo yamefanyika kuanzia Mei 28 hadi 31 katika Ukumbu wa Altek Internet Cafe Mjini Njombe